Wednesday, April 9, 2014

SIFA ZA KIJINGA

ETI UMEPENDEZA
UMETOKELEZEAJE........WAMSIFIAJE?????
WATHUBUTUJE KIMSIFIA?

WAMSIFIAJE WAKATI AMEVAA SKETI HATA UKWENI HAWEZI KWENDA NAYO,
WAMSIFIAJE AMEVAA KITOP KITOVU CHOTE NJE
WAMSIFIAJE AMEVAA SURUALI LAINI YA KUMBANA MITHILI YA UTUMBO
WAMSIFIAJE AKIINUKA SITI YA.DALADALA NI SHARTI AIWEKE SAWA BLAUZ YAKE
WAMSIFIAJE ANA NYWELE ZA MAITI KICHWANI
WAMSIFIAJE AMEUKANA UREMBO ALIOPEWA NA MUUMBA NA KUAMUA KUJIKOROGA KWA MIKOROGO YA KILEO
WAMSIFIAJE KIFUA CHAKE CHOTE AMEKIANIKA

WAMSIFIAJE ANA KUCHA ZA BANDIA NYUSI KAONGEZA
WAMSIFIAJE KAMA WEWE C MWENDAWAZIMU MWENZAKE

WAMSIFIAJE KIJANA WA KIUME ALIYESUKA NYWELE NA KUTOGA MASIKIO AMEVAA HERENI MITHILI YA MWANAMKE ANAYEJIUZA
WAMSIFIAJE AMESHUSHA SURUALI CHINI YA MAKALIO
WAMSIFIAJE,,,,,,WATHUBUTUJE KUMSIFU HUYU....KIZURI ALICHOFANYA NI KIPI CHA KUSIFIWA....HEBU NIJUZENI LABDA MM CJAKIONA ILHALI KIPO.....

JAMANI NISIADIENI.....HUYU AFAA KUSIFIWA AU KUZOMEWA?

No comments:

Post a Comment