Wednesday, April 9, 2014

JE AKILI IPO TIMAMU?

JE UNA AKILI TIMAMU???

WEWE UNAYEMTAMBULISHA MZINIFU MWWNZIO (BOYFRIEND/GIRLFRIEND) KWA RAFIKI/NDUGU/JAMAA YAKO TENA BILA YA AIBU....TUKUONE KUWA NDIO BINGWA WA KIZINI AU NDIO DHAHARAL FASAAD FIL BARRI WA BAHARI.....

JE UNA AKILI ?
WEWE UNAETAMBULISHWA WAZINIFU KISHA UKAWAPONGEZA NA KUWASIFIA ETI WAMEPENDEZANA BADILI YA KUWAHIMIZA UMUHIMU WA WAO KUOANA NA KUWAELEKEZA UBAYA WA WAO KUBAKI KATIKA AINA HIYO YA MAHUSIANO

JE UNA AKILI?
UNAYEWAALIKA WAZINIFU ETI WAJE KUPAONA KWAKO AO WEWE WAENDA KWAO KUWATEMBELEA....HIYO NI KUMAANISHA KUWA UMERIDHIA AU UMEPENDEZEWA NA WANAYOYAFANYA?

JE UNA AKILI......?
WEWE UNAEMUUNGANISHIA MWENZIO MWANAMKE/MWANAUME ILI WAJE KUWA WAZINIFU (ETI WAPENZI)

JE UNA AKILI?
WEWE UNAESIFIA WANAUME/WANAWAKE ULIOZINI NAO MBELE ZA WATU BILA YA HAYA TENA WATAJA IDADI NA MAHALA MLIPOZINIA

JE UNA AKILI ?
WEWE UNAYESIMULIWA HABARI ZA MACHAFU HAYO ALIYOYAFANYA MWENZIO NA UKATULIA KUMSIKILIZA BADILI YA KUMKATISHA NA KUMTANABAHISHA KUWA ANAOFANYA NI UPUUZI

JE UNA AKILI?

JE .......

JE .......

NAWATAKIA IJUMAA NJEMA NYOTE....MOLA AZIFANYE NZURI PUMZI ZETU ZA MWISHO IN SHAA ALLAH

No comments:

Post a Comment