Wednesday, May 14, 2014

KILWA NI MJI ULIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA TANZANIA













Zipo sababu nyingi zilizowafanya wanasiasa wa nchi hii kulazimiza baadhi ya historia zisitambulikane kabisa kwa kizazi kinachoendelea, moja ya miji iliyozimwa nuru yake ni mji huu mkongwe wa kilwa,

Kupitia wavuti hii tutakuwa tukikuletea historia ya mji huu na mazuri yake katika vivutio mbalimbali ikiwemo watu na tamaduni za wenyeji wa mji huu,

Endelea kufuatilia wakati tukiangalia mji mwingine utakaofuata baada ya huu.

TUPO PAMOJA ...................................... endelea kufatilia

No comments:

Post a Comment