Wednesday, April 9, 2014

BADO NIPO NIPO SANA

KIJANA WA KIUME UKIMUULIZA MBONA HUJAOA HADI LEO UMRI UNAKWENDA,,,,,MAJIBU UTAYOYAPATA NI PAMOJA NA:-

BADO NIPO NIPO KWANZA

WANAWAKE/WASICHANA WANAOFAA KUWA WAKE BADO HAWAJAZALIWA

KWANINI NIJISUMBUE KUFUGA NG'OMBE ILHALI NYAMA NA MAZIWA VYAPATIKANA KIRAHISI

NITAOAJE NA HALI YA MAISHA UNAIONA/MAISHA MAGUMU

SINA UWEZO WA KULIPA MAHARI LABDA WANIKOPESHE/MAHARI KUBWA

BADO SIJAMUONA ILHALI ANA VIMADA LUKUKI

HAYO NI SEHEMU YA MAJIBU WANAYOYATOA
NATUMAI WW MWENZANGU UNAYAFAHAMU MENGINE ZAIDI.....HEBU TOA MAONI YAKO.....NI KIPI KIFANYIKE KIWAHAMASISHA VIJANA KUFAHAMU UMUHIMU WA KUACHA ZINAA NA KUAMUA KUOA?

No comments:

Post a Comment