MNAWEZA MKAZINI MKIJUA MMEOANA......KUWENI WAANGALIFU
NASIKITIKA KUWAFAHAMISHA KUWA NDOA NYINGI ZIMEKUWA ZIKIFUNGWA NA MAWALII WASIO NA SIFA...
NDOA NYINGI ZIMEONGOZWA NA MAWALII WALIOPATA WATOTO KABLA YA NDOA YAANI WALIANZA KUZAA KISHA WAKAOANA....NACHELEA KUSEMA NDOA HIZO NI BATILI KWA KUWA HAZIKUTIMIZA NGUZO MUHIMU YA KUWEPO WALII HALALI
NA SISI NDUGU TUNAYAONA NA KUYAFAHAMU ILA TUNAKAA KIMYA KWA KUFICHA SIRI AU ETI TUNAMSITIRI NDUGU YETU...NACHELEA TUTAKOSA MAJIBU SIKU YA HESABU
NDOA NYINGI TUMEONA ZIKIFUNGWA NA MAWALII WAJOMBA AU BABA ZA KAMBO YANATOKA WAPI HAYA
PENGINE KAMA SI MIMI BASI WEWE UTAKUWA UMEHUSIKA KATIKA NDOA ZA AINA HIYO MUOGOPE MOLA WAKE....RUDI TENA KWA QADHI UKAOE....BORA AIBU YA DUNIANI KULIKO AIBU YA MILELE AKHERA
ALLAH ATUSITIRI NA ATUPE HIDAYA
Allah a'alamu

No comments:
Post a Comment